×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Sam Shollei asema Standard Group itashirikiana na serikali za kaunti kuhakikisha ugatuzi unafanikiwa

29th January, 2015

Mfumo wa ugatuzi ndio bora zaidi kwa wakenya hasa kwa kuwa umepeleka huduma za serikali mashinani. Kwenye kikao na gavana wa Nandi Dakt Cleophas Lagat, afisa mkuu mtendaji wa Standard Group Sam Shollei amesema kutokana na hayo shirika hili la habari litashirikiana na serikali za kaunti kuhakikisha kwamba mfumo huo unafanikiwa. Kwa upande wake Gavana Lagat ameelezea furaha kwa mchango wa vyombo vya habari kwenye oparesheni za serikali za kaunti
.
RELATED VIDEOS