x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wanafunzi wa vyuo vikuu kupokea fedha za mkopo wa HELB

26, Jan 2015

Wanafunzi wa vyuo vikuu wana kila sababu ya kusherehekea baada ya fedha za mkopo wa HELB kutolewa. Serikali ikiwa imetoa shilingi bilioni 1.4 kati ya bilioni 6.8 zilizotarajiwa. Takriban wanafunzi elfu 65 walijisajili kupokea mikopo hiyo baada ya kutaka kufanya mgomo kutokana na kuchelewa kutolewa kwa fedha hizo. kulingana na maafisa wa HELB ni kwamba kumekuwa na ongezeko kuu la wanafunzi wanaojisajili kupokea mikopo hiyo. Wanafunzi hii leo walionekana kufurika katika afisi za HELB wakituma maombi ya mikopo ndiposa waendelee na masomo yao ya vyuo vikuu.

RELATED VIDEOS


Feedback