x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Watoto wafariki baada ya kula viazi vitamu Busia

26, Jan 2015

Watoto wawili kutoka kaunti ya busia wamefariki baada ya kuripotiwa kula viazi vya tamu. Kulingana na mama ya watoto hao, walipewa viazi hivyo na jirani yao na kuishia kuwa vyenye sumu. Hata hivyo mama na mwanawe mmoja walinusurika kifo na kulazwa katika hospitali ya Nangina.Nangina,

RELATED VIDEOS


Feedback