Wabunge wa CORD wamtaka Gedion Mung’aro kuondoka kama mwenyekiti wa wabunge Pwani
25th January, 2015
Kivumbi miongoni mwa wabunge wa mrengo wa CORD eneo la pwani kimejitokeza huku baadhi yao wakimtaka mbunge wa kilifi Gedion Mung’aro kuondoka kama mwenyekiti wa wabunge kutoka Pwani kwa madai kuwa haungi mkono kongamano la jumuia ya Pwani. Je ngome hiyo ya CORD itasambaratika kutokana na msukosuko huo unaoikumba?