Viongozi wa Msikiti wa Musa wabadilisha jina la msikiti huo na kuupa jina lake la awali
23rd January, 2015
Msikiti wa Musa ulioko eneo la majengo mjini Mombasa kwa muda mrefu umehusishwa pakubwa na matukio ya ugaidi, na hata wakati mmoja kubadilishwa jina na kuwa masjid shuhad’aa. Lakini mapema hii leo viongozi wa msikiti huo waliubadilisha jina msikiti huo na kuupa jina lake la awali.