x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Patana na mwanamke mshonaji viatu kutoka kaunti ya Taita Taveta

21, Jan 2015

Kwa mara nyingi kazi za sulubu huhusishwa na wanaume. Lakini dhana hii imegeuzwa kupitia wanawake kama Gloria Mchana kutoka kaunti ya Taita Taveta aliyejitosa katika biashara ya ushonaji viatu. Kazi aliyojifunza kupitia mumewe na kwa sasa kazi hiyo, inamkimu yeye na familia yake.

RELATED VIDEOS


Feedback