×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wanafunzi wa Lang'ata watupiwa vitoa machozi kwenye mzozo wa ardhi

19th January, 2015

Maandamano katika shule ya msingi ya barabara ya langata yalibadilika kuwa vioja pale maafisa wa polisi walipowatawanya wanafunzi kwa kutumia vitoa machozi. Wanafunzi watano wa shule hiyo walipelekwa hospitali kutibiwa, huku afisa mmoja wa polisi akijeruhiwa. Na kama anavyoarifu mwanahabari Mohamed Mahmoud, hatua ya maafisa wa polisi ya kuwarushia wanafunzi vitoa machozi imezua mijadala mbali mbali miongoni mwa wakenya.
.
RELATED VIDEOS