x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wanafunzi wanane wafariki Kendu Bay baada ya ajali ya barabarani

19, Jan 2015

Wanafunzi 4 ni miongoni mwa abiria 8 waliofariki kwenye ajali ya barabarani iliyohusisha matatu kwenye barabara kuu ya Katito inayoelekea Kendu bay. Wanafunzi 3 walikua wakirudi shule huku mmoja akiwa ni mwanagenzi wa mwaka wanne katika chuo kikuu cha Egerton. Abiria wengine 4 wakiwemo wanafunzi 2 walikimbizwa katika hospitali ya rufaa ya Jaramogi kupokea matibabu. Ali Manzu anaarifu zaidi.

RELATED VIDEOS


Feedback