×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mzozo wa ardhi ya shule ya msingi ya Lang'ata yaibuka

16th January, 2015

Mzozo wa umiliki wa kipande cha ardhi ya kiwanja cha kuchezea mpira cha shule ya msingi ya Lang’ata umechukua mwelekeo mpya baada ya aliyekuwa meya wa baraza la jiji la nairobi Geoffrey Majiwa pamoja na mbuge wa makadara benson mutura kudaiwa kujitokeza na kudai kuwa ni wamiliki wa kampuni ya airport view housing inayomiliki kipande hicho cha ardhi. Ikifanya ziara katika ardhi hiyo, tume ya ardhi imegundua kuwepo kwa hati miliki aina mbili za ardhi hio.
.
RELATED VIDEOS