×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Washukiwa wajeruhiwa walipojaribu kutoroka polisi

16th January, 2015

Washukiwa watatu wamejeruhiwa huku wengine 6 wakifanikiwa kutoroka walipokuwa wakihamishwa kutoka kituo kimoja cha polisi hadi kingine katika kaunti ya kisii. Mmoja kati ya waliojeruhiwa atalazimika kukatwa miguu baada ya kuanguka na kuvunjika vibaya aliporuka kutoka kwenye gari la polisi.
.
RELATED VIDEOS