x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Changamoto za kizazi kwa kukosa huduma zinazohitajika

10, Jan 2015

Mwezi wa nane mwaka jana tulikuletea taarifa kumhusu elizabeth nanguta kutoka barsaloi kaunti ya samburu ambaye alikumbwa na changamoto si haba katika kupokea huduma za uzazi alipokuwa mjamzito.ni masaibu yaliyowaandama baadhi ya wanawake kaunti hiyo.tulifuatilia taarifa hiyo na kugundua kuwa wenyeji wana kila sababu ya kutabasamu.

RELATED VIDEOS


Feedback