Eneo la mlima Elgon halina hata kilomita moja ya barabara ya lami.
7th January, 2015
Mojawapo ya maeneo yenye mazao mengi ya chakula nchini Kenya ni eneo la mlima Elgon. Licha ya hiyo wilaya hiyo ya mlimani ambayo ni sehemu ya kaunti ya Bungoma haina hata kilomita moja hivi ya barabara ya lami. Robert Wanyonyi anaarifu