Mkutano kati ya tume ya kuajiri walimu na chama cha walimu KUPPET, umefeli baada ya chama hicho kuko
3rd January, 2015
Kutokana na uchache wa vyumba vya kuhifadhia maiti katika eneo la KEEU kaunti ya Elgeyo Marakwet, hali hiyo imemsukuma mzee mmoja kuendeleza shughuli ya kuhifadhi maiti kwa kutumia maji na hata mchanga. Ni shughuli anayodai kuirithi kutoka kwa wazee wake na sasa anaendeleza kazi hiyo kwa njia mahususi.Elvis Kosgei na taarifa zaidi.