Mashabik 45,000 kutoka Morocco watatazama mchuano wa kirafiki kati ya Paris Saint na Inter Milan
29th December, 2014
Zaidi ya mashabik 45,000 kutoka nchini Morocco watapata nafasi ya kutazama mchuano wa kirafiki wa kusisimua kati ya Paris Saint Germain ya ligi kuu ya ufaransa na vigogo wa Italia Inter Milan.