Baadhi ya Wakaazi wa Bondo wameamua kujihusisha na shughuli za kilimo
28th December, 2014
Kutokana na kupungua kwa mapato yanayotokana na shughuli za uvuvi, baadhi ya wakaazi wa maeneo ya Bondo wameamua kujihusisha na shughuli za kilimo pamoja na ufugaji wa wanyama kama njia mojawapo ya kutafuta mapato mbadala ya kujikimu kimaisha.. Mradi huu mpya umefungua kurasa mpya za maisha yao.