Wanafunzi waliofanya mtihani wa kitaifa ya KCPE watapata matokeo yao kesho
28th December, 2014
Wanafunzi waliofanya mtihani wa kitaifa ya darasa la nane, maarufu KCPE watapata matokeo yao ya mtihani huo hapo kesho. Na kama anavyoarifu mwanahabari hussein mohammed, ni mtihani ambao umegubikwa na hisia tofauti kufuatia taratibu zitakazotumika katika kutanganza matokeo yenyewe.