WOMAN KILLED OVER CHICKEN: Mwanamume amua mkewe katika Kaunti ya Kakamega juu bibiya hakupika kuku
27th December, 2014
Mwanamume mmoja katika kijiji cha Shanderema Kaunti ya Kakamega amewashangaza wengi kwa kumuua mkewe kisa na maana; mkewe alikosa kumuandalia kitoweo cha kuku.