×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Chama Cha Kitaifa cha Walimu , KNUT kinatarajiwa kuaanda mgomo mwaka ujau

27th December, 2014

Chama Cha Kitaifa cha Walimu , KNUT kimetoa makataa ya siku saba kwa serikali na mwajiri wao ambaye ni tume ya huduma kwa walimu, TSC pamoja na serikali kuafikia matakwa yao , la sivyo wamesema kuwa wataandaa mgomo wa walimu kote nchini ifikapo tarehe tano mwezi Januari.
.
RELATED VIDEOS