×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mshukiwa wa wizi afariki baada ya kugusa nyaya za umeme

27th December, 2014

Mshukiwa mmoja wa wizi alifariki baada ya kuguswa na nyaya za umeme sehemu ya Ragati kaunti ya nyeri. Kulingana na walioshuhudia, mshukiwa huyo alikua kwenye genge la watu 3 wanaosumbua wenyeji kwa kuwaibia mifugo yao na kuwaibia majumbani mwao. Walidai kuwa marehemu aliparaga kwenye mti wa spaki katika jitihada za kuwakimbia wenyeji waliokua na hasira ambao awali walimchoma mwenzake
.
RELATED VIDEOS