Sherehe za Krismasi zaadimishwa ulimwengu kwote
25th December, 2014
Kwa waumini wa kikristo leo ni siku yenye umuhimu mkubwa sana kwenye kalenda yao ya kimataifa kwani wameadhimisha kuzaliwa kwa yesu kristo. Sherehe hizi zimeandaliwa kote duniani ikiwemo bethlehemu na Vatican.