KTN Leo Full Bulletin 23rd December 2014
23rd December, 2014
1. Askari wa Akiba ameuawa katika Kaunti ya Wajir
2. Wakurugenzi wakuu wa Smith and Ouzman wadaiwa kuwaonga maafisa wa IIEBC
3. Chuo cha Samba chafunza vijana mchezo wa kabumbu
4. Timu ya Raga ya Mwamba yazindua chipukizi wao
5. Moses Otieno Kajwang ndiye atapeperusha bendera ya ODM kwenye uchaguzi wa Homa Bay