CHRISTMAS FESTIVITIES: Nauli za usafiri zapanda marudufu
23rd December, 2014
Ikiwa imesalia siku moja tu kufikia krismasi, wahudumu wa magari ya uchukuzi wa umma jijini nairobi wameelezea wasiwasi wao kufuatia kupungua kwa idadi ya wasafiri wanaoelekea maeneo ya mashinani msimu huu wa krismasi. Na kutoka pwani ya kenya tunaarifiwa uwepo wa idadi ya chini ya watalii iliosajiliwa huku idadi kuu ya wakenya wakishuhudiwa kusafiri kuelekea maeneo ya bara.