×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Moses Otieno Kajwang ndiye atapeperusha bendera ya ODM kwenye uchaguzi wa Homa Bay

23rd December, 2014

Sasa ni rasmi kuwa moses otieno kajwang atapeperusha bendera ya chama cha odm katika kinyang’anyiro cha kumtafuta seneta mpya wa homabay baada ya bodi ya uchaguzi ya odm kumpa uteuzi wa moja kwa moja moses kajwang kuwania nafasi ya useneta,kaunti ya homa bay. Haya yanajiri siku chache baada ya kundi la vijana kuwavuruga wanachama wa odm kwenye shughuli ya uteuzi wa mgombeaji katika kaunti ya homabay. Wakati huohuo, mwanachama wa odm silas ouko jakakimba, ameandika barua ya kujiuzulu katika odm.
.
RELATED VIDEOS