x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Washukiwa kumi wa ugaidi wafikishwa mahakamani

22, Dec 2014

Washukiwa 10 wa ugaidi wanaoaminika kumuua afisa wa usalama mnamo tarehe 11 mwezi huu katika eneo la kaloleni kaunti ya kilifi ,walifikishwa katika mahakama ya mombasa asubuhi ya leo. Washukiwa hao ambao walifikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali walipatikana na hatia ya wizi wa kimabavu. Hatahivyo walikana madai hayo mbele ya jaji wa mahakama ya mombasa. Licha ya mwendeshaji mashataka kutaka 10 hao wasiachiliwe kwa dhamana, hakimu mtendaji wa mahakama ya mombasa alisema kesi hiyo itaskizwa januari mwaka ujao ili kutoa hukumu ya kesi hiyo.

RELATED VIDEOS


Feedback