Wachuuzi katika soko la Nyayo, Ngara wakadiria hasara baada ya moto kuteketeza soko hilo
21st December, 2014
Wachuuzi katika soko la Nyayo, Ngara Nairobi wameachwa kukadiria hasara baada ya moto kuzuka mnamo sa kumi alfajiri na kuteketeza soko hilo. Na kama anavyoripoti Nicholas Wambua, kando na kuwa wazima moto walifika kuchelewa, wachuuzi hao wameripoti kuwa walikosa ujuzi wa kuudhibiti moto huo.