×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Vurugu na zogo kutokea bungeni baada ya upande wa serikali kuupitisha mswada wa sheria za usalama

18th December, 2014

Upande wa serikali bungeni umetumia wingi wake kuupitisha mswada wa sheria za usalama katika mazingira ya vurugu na zogo ambapo spika Justin Muturi amezingirwa na walinzi wa bunge. Aidha, imekuwa siku ambayo wakenya wameshuhudia mienendo ya fedheha miongoni mwa wabunge katika kikao mahsusi kilichoitishwa kukamilisha mswada huo. Upande wa upinzani ulianza mapema kutatiza utaratibu wa mjadala katika hatua iliyobadilisha bunge kuwa jumba la sarakasi
.
RELATED VIDEOS