×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wafanyakazi wa kampuni ya China Road Bridge kuandamana barabara kuu ya Lang’ata

15th December, 2014

Shughuli za kawaida zilitatizwa mapema leo katika barabara kuu ya Lang’ata baada ya wafanyakazi wa kampuni ya China Road Bridge kuandamana na kusababisha msongamano mkubwa wa magari kwenye barabara hiyo. Licha ya polisi kufika maeneo hayo, hali ilikuwa ya vuta nikuvute kwa muda…Elvis Kosgei na taarifa hiyo.
.
RELATED VIDEOS