×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wazazi walalama wizi wa watoto Bungoma mpakani mwa Kenya na Uganda

14th December, 2014

Wakazi wa Bungoma wameanza kuwapoteza watoto kwenye msururu wa wizi unaodaiwa kundelezwa na kundi la watu kwenye mpaka wa Kenya na Uganda. Wakazi kadhaa wamesema kwamba akina mama wamekuwa wakiwapoteza watoto wadogo wenye chini ya umri wa mwaka mmoja na nusu…na kama anavyoripoti Robert Wanyonyi, uchunguzi wa KTN umepata uwezekano wa kuhusika kwa wanawake watatu kutoka nchi jirani katika sakata hiyo.
.
RELATED VIDEOS