×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

MAKAO YA HISTORIA: Makao ya historia yaliyojengwa miaka 50 iliyopita

12th December, 2014

Wakati wakenya wanapoisherekea siku kuu ya jamhuri ni vyema wakumbuke baadhi ya matukio yaliyojiri kabla ya kenya kujipatia uhuru. Lofty matambo alizuru kauti ya samburu na kuipata nyumba moja aliyoishi mzee jomo kenyatta baada ya kuletwa hapo na wakoloni kutoka kifungoni lodwar, ili kuirai roho yake kutokana na mateso aliyoyapitia..imesemwa kwamba ni kwenye nyumba hiyo ndipo safari ya kuwa rais ilianza.
.
RELATED VIDEOS