NCPB yanyuka mahasimu wao wa jadi Ulinzi mabao 25-22 East Africa Hand Ball Championship
9th December, 2014
Mashindano ya mpira wa mkono ya kanda ya Afrika Mashariki na kati yanaendelea kushika kasi huku timu ya wanawake ya bodi ya nafaka na mazao, NCPB ikinyuka mahasimu wao wa jadi ulinzi kwa mabao 25-22. Robinson Okenye na matokeo ya michuano hii inayochezewa ugani Nyayo.