×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wawakilishi wa wadi katika kaunti ya Makueni wanamlaumu Gavana Kivutha Kibwana kwa kutowajibika

10th December, 2014

Wawakilishi wa wadi katika kaunti ya Makueni sasa wanamlaumu Gavana Kivutha Kibwana kufuatia hatua ya Rais Kenyatta kuteuwa tume maalum ya kuchunguza suala la kubanduliwa serikali hiyo. Viongozi hao wanasema kufeli kwa Makueni kunatokana na Gavana kutowajibika. Hata hivyo kama anavyoarifu Mohamed Mahmoud, kauli hizo zinatokana na wengi kuhofia kupoteza viti vyao iwapo serikali hiyo itabanduliwa.
.
RELATED VIDEOS