×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wanafunzi wa kike chuoni Egerton kuanzisha kituo cha malezi ya watoto chuoni

9th December, 2014

Visa vya wanafunzi hasa wa vyuo vikuu kupata ujauzito sio geni… wengi hujipata katika hali ya kutatanisha kwa sababu wanafaa kulea mimba na watoto na hali ni wanafunzi. sasa baadhi ya wanafunzi wa kike chuoni Egerton wamejipata katika hali hiyo na kuanzisha kituo cha malezi chuoni. Kamche Menza alifika Egerton na sasa anatupambia makala yetu ya kila Jumatatu, Elimu na Taaluma
.
RELATED VIDEOS