x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

NCIC yatoa wito kwa Wakenya kubadilisha mawazo ili kufanikisha umoja wa taifa

08, Dec 2014

Licha ya harakati zinazoendelezwa nchini kupata utangamano, inaibuka kwamba wakenya bado hawajakumbatia moyo huo miongoni mwao huku ukabila ukiendelea kupaliliwa... kwenye ripoti mpya kuhusu kiwango cha uwiano nchini tume ya NCIC sasa imetoa wito kwa Wakenya kuanza kubadilisha mawazo ili kufanikisha umoja wa taifa...kama anavyoarifu Nicholas Wambua hali hiyo huthibitika zaidi kwenye ulingo wa siasa

RELATED VIDEOS


Feedback