×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Raila Odinga apasha misuli moto ili kuingia katika bunge kwa kuwania kiti cha useneta,

7th December, 2014

Hatimaye sasa imeibuka kwamba kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga anapasha misuli moto ili kuingia katika bunge kwa kuwania kiti cha useneta, kaunti ya Homa-Bay. Frank Otieno alihudhuria kikao maalum nyumbani kwake Raila huko Bondo, ambapo ishara zipo kwamba mipango inaendelea kukamilika kumpokeza Raila kiti hicho kilichowachwa wazi baada ya kifo cha Seneta Otieno Kajwang’. Je , Raila akikubali uamuzi huu utakuwa ni mwanzo wake wa kujimaliza kisiasia au kujiimarisha Zaidi
.
RELATED VIDEOS