Wanawake Narok wameandamana na kuvamia Makahaba
4th December, 2014
Wanawake katika kaunti ya Narok wameandamana kwa kile wanachokitaja kuwa waume wao kuyumbishwa na starehe za wanawake wa majumba ya starehe. Wamevamia baadhi ya wanawake wanaowashuku kufanya ukahaba. Hussein Mohammed anaarifu