Miili ya watoto wa marehemu Paul Magu kupatikana katika Kaunti ya Kiambu.
3rd December, 2014
Mafadhaiko yameongezeka miongoni mwa jamaa ya marehemu wakili Paul Magu baada miili ya watoto wawili walioripotiwa kutoweka kupatikana katika eneo moja la Kaunti ya Kiambu.