×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Vyama mbali mbali na viongozi watoa hisia zao kuhusiana na Mauaji ya timbo la Mawe mandera

3rd December, 2014

Kufuatia ongezeko la ukosefu wa usalama nchini huku kisa cha hivi karibuni kikiwa shambulizi la Mandera mapema hii leo ambapo watu 36 waliuawa katika Mgodi, vyama mbali mbali vikiwemo muungano wa madaktari nchini, muungano wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi SONU mashirika ya kijamii na chama cha CORD pamoja Na Gavana wa Mandera Aili Roba vimetoa hisia zao za kutoridhishwa na utovu huu wa usalama na kutaka serikali kuwajibika zaidi.
.
RELATED VIDEOS