Kenya yaungana na mataifa mengine ulimwenguni kuadhimisha siku kuu ya vita dhidi ya ukimwi duniani.
1st December, 2014
Kenya imeungana na mataifa mengine Ulimwenguni kuadhimisha Siku Kuu ya vita dhidi ya Ukimwi Duniani. Kauli mbiu ya shehere za leo ni kuondoa kabisa unyanyapaa na maambukizi katika jamii. Elvis Kosgey anatupa taarifa ya sherehe hizo katika maeneo mbali mbali ya nchi.