Kilio cha Kuku: Jali maslai ya wanyama pia, si pesa tu
1st December, 2014
Visa vya wanyama kudhulumiwa hasa kuku wakati wa kusafirishwa si jambo geni, unapata ya kwamba wengi hawajali masilahi ya mnyama huyo lao tu ni pesa,wengi wao hufa wakati huo ,ni nini haswaa kinafaa kufanyika kuzuia unyama huu.