×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wanawake 3 Pokot Magharibi kuanzisha kituo cha kuoshea magari kinachowapa riziki

29th November, 2014

Wakati kasumba ya wanawake kutengewa kazi aina fulani nao vijana kuchagua kazi ikisalia katika jamii, wanawake watatu katika kaunti ya Pokot Magharibi wameipa hali hiyo mtizamo tofauti baada ya kuamua kuanzisha kituo cha kuoshea magari kinachowapa riziki ya kila siku na hata kuwapa changamoto baadhi ya mabarobaro waliojikalia ovyo wakisubiri ajira katika eneo hilo. Lofty Matambo na taarifa hio.
.
RELATED VIDEOS