Ulemavu haujamzuia kutekeleza majukumu yake Mary Njeri mwenye hali ya Cerebral Palsy
29th November, 2014
Ametembea Uropa, Uchina na nchi zingine zilizoko Afrika, kote huko amekuwa akitembea peke yake. Linalowashangaza wengi ni kwamba kando na matembezi hayo yote, Mary Njeri ana hali kwa kimombo Cerebral Palsy, hali iliyomlemaza baadhi ya viungo vyake. Nicholas Wambua aeleza