×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

STRIPPERS CHARGED: Dereva na Makondakta wafikishwa Mahakamani kwa tuma ya kudhulumu msichana

28th November, 2014

Waziri wa Ugatuzi Anne Waiguru amesema kuwa wamiliki wa matatu, Madereva na Makondakta watapokonywa leseni zao iwapo watapatikana na hatia ya kusababisha au kutochukua hatua dhidi ya dhuluma zinazofanyiwa wanawake kwenye magari yao. Tayari chama cha matatu cha nazigi kimepokonywa leseni yake na halmashauri ya usafiri kwa mda wa wiki 2. Wakati huo huo jamaa wawili waliokamatwa hapo jana kwa kumvua nguo mwanamke katika barabara ya thika walifikishwa mahakamani mapema hii leo.
.
RELATED VIDEOS