×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Tuzo za mwanaspoti bora za Soya zimepata udhamini kutoka kampuni ya Safaricom

27th November, 2014

Tuzo za kila mwaka za mwanaspoti bora za soya zimepata udhamini wa slihingi milioni kumi na mbili kutoka kwa kampuni ya mawasiliano ya safaricom. Kinyume na ilivyokuwa mashindano hayo kuandaliwa desemba kila mwaka, msimu huu waandalizi waliamua kusongeza tuzo hizo hadi januari tarehe 16 mwaka ujao. Mwenykiti wa tuzo hizo za soya evelyn watta alidokeza kuwa walifanya hivyo ili kuwapa fursa wanaspoti wanaoshiriki michezo kama vile magongo na mpira vikapu kwani wao hukamilisha ligi yao mwezi Desemba.
.
RELATED VIDEOS