×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Washukiwa watano wa kosa la kuwavua nguo mwanamke wamefikishwa katika Mahakama ya Makadara

27th November, 2014

Washukiwa watano wa kosa la kuwavua nguo mwanamke mtaa wa kayole jijini nairobi, wamefikishwa katika mahakama ya makadara na kufunguliwa mashtaka. Hatahivyo kesi yao haikuendelea kutokana na mshukiwa mmoja kuwa na ulemavu wa kusikia,yaani kiziwi. Wakati huo huo washukiwa watatu wanaosemekana kumvua nguo mwanamke aliyekuwa kwa basi la kuelekea githurai wamekamatwa.francis mtalaki na maelezo zaidi.
.
RELATED VIDEOS