Wanariadha wamekashifu matumizi ya dawa za kusisimua misuli
24th November, 2014
Wanariadha nchini kenya wenye uzoefu; kupitia kwa shirikisho lao almaarufu kama PAAK, wamekashifu visa vinavyozidi kuongezeka vya matumizi ya dawa za kusisimua misuli. Isitoshe, wanariadha hao wamelitaka shirikisho la riadha nchini kubadilisha katiba yao.