FKF limethibitisha kupanda daraja kwa vilabu vya Kakamega Homeboyz na Nakumatt FC kwenye KPL
24th November, 2014
Shirikisho la soka nchini FKF limethibitisha kupanda daraja kwa vilabu vya Kakamega homeboyz Nakumatt FC kwenye ligi ya KPL.
Kaka mega Homeboyz and Nakumatt FC watajiunga na posta Rangers na Shabana FC ambao hapo awali walikuwa wamedhibitishwa kupanda daraja