Serikali kuwaua magaidi 100 wa Al - Shabaab kuhusiana na vifo vya Wakenya 28 Mandera
23rd November, 2014
Naibu Rais William Ruto amesema kwamba jeshi la Kenya limevamia maficho ya magaidi waliosababisha vifo vya Wakenya ishirini na nane eneo la Mandera. Ruto amesema kuwa serikali imefanikiwa kuwaua magaidi mia moja wa kundi haramu la Al - Shabaab kuhusiana na kisa hicho.