Jamaa amng’ata jirani yake sikio baada ya Arsenal kufungwa mabao 2 kwa moja na timu ya Manchester
23rd November, 2014
Jamaa mmoja mjini Kisumu alimng’ata jirani yake sikio na kulikata baada ya kukosana kufuatia mchuano kati ya timu anayoiunga mkono ya Arsenal kufungwa mabao 2 kwa moja na timu ya Manchester. Jamaa huyo alipachikwa jina la Suarez kutokana na tukio hilo.