×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Joseph Kiplimo na Alice Aprot Beat ndio washindi wa makala ya 4 ya mbio nyika za Tuskeys Wareng

23rd November, 2014

Bingwa wa nishani ya fedha wa bara Afrika katika mita elfu tano Joseph Kiplimo na bingwa wa zamani wa mbio za nyika za barani Alice Aprot Beat ndio washindi wa makala ya nane ya mbio nyika za Tuskeys Wareng. Aidha kivutio katika mbio hizo mapema hii leo ni bingwa mara mbili wa dunia Vivian Cheruiyot aliyemaliza wa nne hiyo ni baada ya kurejea kwenye riadha baada ya miaka miwili.
.
RELATED VIDEOS