×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakaazi wa Makueni waomba Rais Kenyatta kuivunjilia mbali serikali ya Kaunti hiyo

21st November, 2014

Wakaazi wa Kaunti ya Makueni wamefuganya virago na kuja hapa Nairobi ili kuwasilisha ombi kwa Rais Kenyatta kuivunjilia mbali serikali ya Kaunti hiyo. Wakazi hao wanadai kuwa wawakilishi wa wodi ni walafi na wameshindwa kujenga Kaunti. Haya yanaripotiwa huku mustakabali wa gavana Kivutha kibwana ukiwa mbele ya Mahakama na Seneti kufuatia hatua ya wawakilishi wa wadi kupitisha hoja ya kutokuwa na imani naye. Francis Mtalaki na taarifa hiyo.
.
RELATED VIDEOS